nimejaza formu ya mdogowangu ya mkopo onlline na kuimaliza kabisa lakini sasa nimekutana na jambo la ajabu nikitaka kuiprint naambiwa sijamaliza kucomferm post form four exams, nikienda kwenye hiyo menyu nakuta nimeshacomferm please please nahitaji kuiprint hiyo form. mwenye kujua namna ya kufanya please naomben msaada au kama kuna namna yoyote naweza kuwasiliana na HESLB zaidi ya number zao zilizopo kwenye website yao nitashukuru. leo ni siku ya tatu nawapigia simu ipo bize alll the time na hata ikiita no responce nimejaribu kuwapigia simu almost 300 times bila mafanikio. ntashukuru kwa ushauri wenu wadau