Msaada loans board please

Msaada loans board please

Wissman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
1,012
Reaction score
1,284
nimejaza formu ya mdogowangu ya mkopo onlline na kuimaliza kabisa lakini sasa nimekutana na jambo la ajabu nikitaka kuiprint naambiwa sijamaliza kucomferm post form four exams, nikienda kwenye hiyo menyu nakuta nimeshacomferm please please nahitaji kuiprint hiyo form. mwenye kujua namna ya kufanya please naomben msaada au kama kuna namna yoyote naweza kuwasiliana na HESLB zaidi ya number zao zilizopo kwenye website yao nitashukuru. leo ni siku ya tatu nawapigia simu ipo bize alll the time na hata ikiita no responce nimejaribu kuwapigia simu almost 300 times bila mafanikio. ntashukuru kwa ushauri wenu wadau
 
inabid cm uwe unapiga kila mara yan ucpumzike hata sekunde ikiwa buz kata af piga tena na endelea ivyo ivyo mpaka watapokea af watakuxaidia
 
Wapigie simu mara nyingi uwezavyo kwa namba hizo hizo za kwenye website hadi uwapate watakujazia wenyewe uskate tamaa ni kawaida sana hiyo
 
Back
Top Bottom