Msaada lodge Dodoma

Msaada lodge Dodoma

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,721
Reaction score
2,383
Wakuu niko mbioni kwenda Dodoma nilikua naomba msaada wa kufahamu lodge Bora na nzuri isiyozidi gharama ya 40000 maeneo haya
✓Karibu na Bunge
✓One way
Lodge tulivu Kwa ajili ya kupumzika vizuri
 
Zimejaa Mkuu
Ila Hutakosa Maana Connection Zipo
 
Nelisa lodge ipo pale maeneo ya cbe karibia na bunge karibu na stendi ya mabasi ya Ally's na sheli Ile ya shabiby Bei zao hazivuki 40000
 
Lodge ya Nini? Wewe maliza kikao jioni tukutane pestana tunakesha mpaka asubuhi halafu tunahamua Capetown kucheki Simba na yanga, tukimaliza gemu tunaenda zetu chako tunatoboza mpka asubuhi halafu asubuhi kwenye gari unarudi zako kwenu. Wacha kuchezea pesa kwa kulipia lodge.
 
Nina mda sijafika dodoma Capetown ndio kiwanja kinakimbiza saivi au ?
 
Lodge ya Nini? Wewe maliza kikao jioni tukutane pestana tunakesha mpaka asubuhi halafu tunahamua Capetown kucheki Simba na yanga, tukimaliza gemu tunaenda zetu chako tunatoboza mpka asubuhi halafu asubuhi kwenye gari unarudi zako kwenu. Wacha kuchezea pesa kwa kulipia lodge.
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Akili hii hapa tam
 
yan kabisa unatumia elfu 40 kulala lodge, mm nakesha stand arobaini yangu ipo mfukoni. ila kama una mpenzi wa kulala nae its okey
 
Back
Top Bottom