Umejaribu google?
Mgoogle kama yuko facebook utampata, au angalau unaweza find out anaposoma.
Mimi wiki iliyopita nilipendekeza kuundwe jukwaa la 'Lost and Found' watu wakanibeza.
I already tried a gazillion times, no luck. Thanks though.
Una uhakika umepatia jina lake?
Maana kama aliendelea kusoma (bongo) ni rahisi kumpata kwenye list ya matokeo.
Kama ulikuwa unajua saloon yao its simple...nenda kaulizie eneo hilo, majirani zake watakuwa wanajua wapi mama huyo alihamia!
Na ukimpata mama ndo ushampata na mtoto!
Jamani ni mimiiiii! Waooh!
Jamani ni mimiiiii! Waooh!
Meeh! I don't think so. I am not really getting the ''her vibes''.
Hahahahah lol! Hujambo Safiuna? Mapochopocho ya Xmas ni aje? Hujavimbiwa? Haya usiku mwema Safiuna ππ
:focus:
sijambo BAK, mtu mwenyewe haniamini. Ngoja niuchune isijekuwa ananitafuta anipige mizinga. Lol.
Sikukuu niaje pande hizo?
Hahahahahaha lol! ogopa mkong'oto ππ...Pande hizi kuko salama salmini. Karibu Sambusa, Korosho, Nyama choma na pili pili kwa wingi (kama ni mtumiaji....)
tobaaa! Nimelowesha screen na mate.
.....Si uje tu kwanini uchuruzike mate banaaa hahahahahah lol!
tobaaa! Nimelowesha screen na mate.
Aaah...right there, she wouldn't do that. Eeew!
lol