Msaada: Lotion nzuri kwa uso wenye mafuta

Kuna dawa flani ya limao naikumbuka sijui inaitwa lemonade! Unaichukua na pamba unasugua uso wenye mafuta. Tulikuwa tunatumia sana mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili...
 
Jamani na mimi natumia medivin cream nataka kuacha, je nitumie nini ili kuondoa cream??
Yaani ulikuwa unatumia betamethasone cream kama vile mafuta ya ngozi ya kawaida??..maajabu haya.
 
Neutrogena oil free moisturizer ni nzuri
Mkuu,hii inapatika hapa Bongo?niliona kuna mtu aliuliza swali kama hili mahali fulani aliyejibu akamwambia atumie hii ni nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…