Msaada maana GB moja kwa mechi moja ya epl siyo mchezo.

Adolph Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
5,950
Reaction score
9,511
Kumekucha.

Yaani ninatumia app hapa ya kuangalia mechi "Football live" na "live tv" yaani ili mechi iishe ninahitaji si chini ya MB 800 na kama kuangalia hadi matangazo ni GB nzima .
msaada walau nipate app ya chini ya 500 Mb kwa kila mechi za epl.

Msaada tutani majogoo wanacheza na nipo mbali na kumbi za mpira.
 
Jaribu kuwa unatumia website ya fawanews.com mechi zote hadi ligi kuu(mb chache na picha HD)

Japo hii site inaweza fungwa badae kutoka na mambo ya hatimiliki na mengine
 
yap hiyo hiyo, haili bando kivile, haina matangazo ya kukera na games mpaka za kibongo unapata humo HD
 
Yeah karibia game zote sahivi nacheki liver online wameungana na channel ya ESPN bundle haijaisha hata mb 200 mpaka 1st half
 
Kumekucha.

Yaani ninatumia app hapa ya kuangalia mechi "Football live" na "live tv" yaani ili mechi iishe ninahitaji si chini ya MB 800 na kama kuangalia hadi matangazo ni GB nzima .
msaada walau nipate app ya chini ya 500 Mb kwa kila mechi za epl.

Msaada tutani majogoo wanacheza na nipo mbali na kumbi za mpira.
Hizo apps zinazingua siku hzi na matangazo yao ya wadada wanatikisa makalio, au mikopo.
 
Jaribu kuwa unatumia website ya fawanews.com mechi zote hadi ligi kuu(mb chache na picha HD)

Japo hii site inaweza fungwa badae kutoka na mambo ya hatimiliki na mengine
inapatikana free?
 
Kumekucha.

Yaani ninatumia app hapa ya kuangalia mechi "Football live" na "live tv" yaani ili mechi iishe ninahitaji si chini ya MB 800 na kama kuangalia hadi matangazo ni GB nzima .
msaada walau nipate app ya chini ya 500 Mb kwa kila mechi za epl.

Msaada tutani majogoo wanacheza na nipo mbali na kumbi za mpira.
kuna watu wanauza GB1 kwa 700 we upo wapi mzee
 
Back
Top Bottom