Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

Sio rasmi.

Ila fangasi wa miguuni nilitumia kitunguu swaumu na utomvu wa alovera(shubiri) niliitwanga nikachanganya na huo utomvu
 
Mwanangu nenda duka la madawa.

Ukishafika duka la nadawa.

Mwambie muuzaji unataka Vidonge vya Griseofulvin dozi ya siku 28--30

Na Dawa ya kupaka inaitwa Clotrimazole cream.

Alafu mwangu ukishapata.

Kwa kutegemea athari ulizopata mwanangu kwenye pumbu (sijui km ngozi inakutoka (kutoka magamba) pumbu kuuma n.k..sijui ni kwa muda gan

Ila utachagua kati ya haya mwanangu

1---Unywe kimoja kila siku kwa siku 28--30

2---Unywe viwili Mara moja kila siku kwa siku 14--15

3--Unywe Kimoja Asubuhi , kimoja jion kwa siku 14--15 .

Wakati huo huo ukipaka iyo cream asubuh na jion .... Safisha eneo LA pumbu kwa maji vuguvugu au ya kawaida tu. ,hakikisha unapafuta panakauka kabisa ndio ulale Dawa.

Hakikisha unabadili Boksa kila utavyokua unapaka Dawa.( kama unaboksa 2--3) basi haki kisha unaifua nakuinyoosha kabla ya kuvua.

Kumbuka, usafi wako namavazi ndio kuta kufanya upone kabisa mwananguuu.

Kinyume nahapo hazitaisha ng'ooooo mwanangu.

Mwisho wasiku ,UTAOGOPA HATA KUGONGA MWANANGU..maana ukigonga tuu, Siku mbili tatu demu ataanza kulia 'Baby nawashwa hahahah, baby natoka na uchafu hahahahah
 
Haina haja ya dawa, ushauri.

Oga vizuri jipukute viruzi na taulo hadi ukauke paka mafuta sehemu hiyo ya mapaja kulainisha na vaa boxa za pamba huwa hazitunzi unyevu utapona kabisa.

Matumizi ya madawa sio mazuri ni kuzingatia usafi tu.
 
Tatizo la uwasho kwenye sehem ya siri kwenye upande wa nyuma ni tatiz gan mana kuna ndugu yang linamsumbua sana
 
Tatizo la uwasho kwenye sehem ya siri kwenye upande wa nyuma ni tatiz gan mana kuna ndugu yang linamsumbua sana au synoderm lakini akipiga na sindano ya powerself hapo duka la madawa sio mbaya
Hiyo ni pumbu jero hapo akazane kumeza vitamin B na kuosha pumbu vizuri kisha apake mafuta ila Kama tatizo limekolea atumie whitefield
 
Back
Top Bottom