BALAGASHIA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 392 Reaction score 383 Feb 8, 2017 #1 Msaada wana jamvi nimekuwa nikizifinya chunusi,sasa nimekuwa nabaki na mabaka meusi usoni.na ndevu pia nikinyoa zikianza kuota zinawasha sana.naomba msaada wa dawa ipi nitumie ili niendelee kuwa soft.
Msaada wana jamvi nimekuwa nikizifinya chunusi,sasa nimekuwa nabaki na mabaka meusi usoni.na ndevu pia nikinyoa zikianza kuota zinawasha sana.naomba msaada wa dawa ipi nitumie ili niendelee kuwa soft.