my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,397 Jun 6, 2015 #1 daktar pole na kaz. macho kutoa machoz inasababshwa na nn. asante sna daktar
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,728 Jun 6, 2015 #2 Inasababishwa na kulia. Chozi lishikalo moyo husababishwa na majonzi!
my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,397 Jun 6, 2015 Thread starter #3 cjaelewa. macho yanatika machoz bila sabab. bila kulia.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Jun 6, 2015 #4 my name is my name said: cjakuelewa. macho yanatika machoz bila sabab. bila kulia. Click to expand... tumia jiuce za matunda,karoti na viazi. . . ukiona hakuna unafuu basi kapime upate miwani. . . pia usianglie tv,pc au simu kwenye giza,washa taa ndio ufanye mambo yako.
my name is my name said: cjakuelewa. macho yanatika machoz bila sabab. bila kulia. Click to expand... tumia jiuce za matunda,karoti na viazi. . . ukiona hakuna unafuu basi kapime upate miwani. . . pia usianglie tv,pc au simu kwenye giza,washa taa ndio ufanye mambo yako.