Msaada: Macho kutoa machozi

Msaada: Macho kutoa machozi

cjakuelewa. macho yanatika machoz bila sabab. bila kulia.

tumia jiuce za matunda,karoti na viazi. . . ukiona hakuna unafuu basi kapime upate miwani. . . pia usianglie tv,pc au simu kwenye giza,washa taa ndio ufanye mambo yako.
 
Back
Top Bottom