msaada madakitari jamani nisaidieni mwenzenu,

msaada madakitari jamani nisaidieni mwenzenu,

BLISS

Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
54
Reaction score
13
naombeni mnipe ushauri kuhusu kukosa choo kwa mtoto mdogo aliye na wiki 2, na hanywi maziwa ya kopo, ananyonya maziwa ya mama yake tu, tatizo ni nini? anapata choo mara moja tu kwa siku, na siku nyingine hapati, kitu ambacho si kawaida kwa mtoto mdogo, msaada madakitari wote,
 
Mi nahisi kawaida,ila ngoja waje wataalamu zaidi
 
Back
Top Bottom