Msaada madaktari kwa huyu mtoto.

Choi Kang Ta

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
86
Reaction score
54
Nilikuwa kijijini, nimeitembelea familia moja huko kijijini na kumkuta huyu mtoto akiwa na tatizo la nywele kuisha anabaki na vipara kama amenyolewa na wembe. Picha inaelezea zaidi, naomba muitazame vizuri.
Naomba kuelimishwa juu ya ugonjwa/tatizo hilo na tiba yake. Ninataka kumsaidia huyu mtoto apone.
Natanguliza shukrani.
 
Kwa kuangalia tu iyo pic lnd ni ulize...Una itaji daktari gani mkuu kua specific [emoji23][emoji23][emoji41]Mshanajr
 
Kwa kuangalia tu iyo pic lnd ni ulize...Una itaji daktari gani mkuu kua specific [emoji23][emoji23][emoji41]Mshanajr
Daktari yeyote mwenye uelewa na utaalam juu ya tatizo hilo. Mimi sio daktari ninachohitaji ni maelezo, ufafanuzi na ushauri wa madaktari au wataalam wenye uelewa juu ya tatizo hilo. Nahitaji kuona huyu mtoto anasaidiwa.
 
Nadhani huo ugonjwa unaitwa alopecia, niko tayari kurekebishwa... Google utauelewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…