Choi Kang Ta
Member
- Aug 25, 2014
- 86
- 54
Nilikuwa kijijini, nimeitembelea familia moja huko kijijini na kumkuta huyu mtoto akiwa na tatizo la nywele kuisha anabaki na vipara kama amenyolewa na wembe. Picha inaelezea zaidi, naomba muitazame vizuri.
Naomba kuelimishwa juu ya ugonjwa/tatizo hilo na tiba yake. Ninataka kumsaidia huyu mtoto apone.
Natanguliza shukrani.
Naomba kuelimishwa juu ya ugonjwa/tatizo hilo na tiba yake. Ninataka kumsaidia huyu mtoto apone.
Natanguliza shukrani.