Msaada madhara ya nyuzi zikiachwa mwilini baada ya kushonwa

Msaada madhara ya nyuzi zikiachwa mwilini baada ya kushonwa

Kama ni non removable suture hazinaga madhara na kama ni zile za kutoa removable suture huwa zinatolewa otherwise wasahau tu kuzitoa
 
Kama ni zile za kutolewa(non-absorbable) ni vyema zingetolewa mana unaeza pelekea mtu akapata infection or reaction yoyote ya mwili.

Lakin kama ni zile zinazobaki mwilini (absorbable suture) haina shida zibaki tu, japo kuna baadhi ya watu miili yao inaweza kuzikataa na kusababisha tatzo baadae.
 
Mfano m2 anajeraha akashonwa af zkaachwa ktolewa
Kumshona binadamu hawatumii nyuzi za nguo mkuu. Zipo nyuzi maalum hospitalini kwa kazi hiyo. Zipo zinazotoka na zipo zisizotolewa. Zinazopaswa kutolewa zisipotolewa zinaweza leta matatizo.

Pia, nchi zilizoendelea kwa kiasi kikubwa hawatumii nyuzi kushona jeraha au wakati wa operation, wanabana na pini kama za stepla na baada ya jeraha kupona wanazibandua.
 
Of course hata hizo zinazoitwa za kutolewa(nonabsorbable) kuna wakati zinatumika ndani ya mwili na zinabakia humo humo bila kutolewa na hakuna tatizo..hii ni kwa sababu kuna baadhi ya sehemu ni lazima zitumike hizo..

Ila kwenye ngozi sababu kubwa ya kuziondoa ni kupunguza uwezekano wa kuwa chanzo cha maambukizi kutoka nje..na of course, pia kwa cosmetic reasons.
 
Absorbable(catgut)haitolewi,non-absorbable(silky) inatolewa

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom