Baby Alone
New Member
- Jan 8, 2024
- 4
- 4
Nilipata jeraha la kuchomwa na kisu- nikashonwa- siku nilipoenda hospital kwa ajili ya kutoa nyuzi (almost baada ya wiki) wakati wa zoezi nafikiri nesi alisahau kutoa baadhi- hivi mpaka Leo ninazo na sina tatizo lolote la infection wala nn-