Baby Alone New Member Joined Jan 8, 2024 Posts 4 Reaction score 4 Jan 10, 2024 #21 Nilipata jeraha la kuchomwa na kisu- nikashonwa- siku nilipoenda hospital kwa ajili ya kutoa nyuzi (almost baada ya wiki) wakati wa zoezi nafikiri nesi alisahau kutoa baadhi- hivi mpaka Leo ninazo na sina tatizo lolote la infection wala nn-
Nilipata jeraha la kuchomwa na kisu- nikashonwa- siku nilipoenda hospital kwa ajili ya kutoa nyuzi (almost baada ya wiki) wakati wa zoezi nafikiri nesi alisahau kutoa baadhi- hivi mpaka Leo ninazo na sina tatizo lolote la infection wala nn-