Its translucentjiwe tena la ziwani
Hahahahaha, mkuu haya yatapita, 2020 ni kazi na bata.Magu Baba legeza kamba vijana wanachanganyikiwa huku mtaani
Fungua tu kliniki ya tiba mbadala hayo mawe yasage vzr unga wake chekecha upate vumbi ni mzuri sana kwa nguvu za kiume peleka daslam utapiga sana pesa,nicheki pm tufanye biashara.Habari wakuu,
Namba kujulishwa ni madini gani haya? Yana value yoyote katika soko la madini? And if so, soko lake liko wapi?
Natanguliza shukrani
View attachment 959909View attachment 959910View attachment 959911View attachment 959912
Hayo ni madini ya chuma mkuu,Habari wakuu,
Namba kujulishwa ni madini gani haya? Yana value yoyote katika soko la madini? And if so, soko lake liko wapi?
Natanguliza shukrani
View attachment 959909View attachment 959910View attachment 959911View attachment 959912
AhahaMagu Baba legeza kamba vijana wanachanganyikiwa huku mtaani
Asante mkuuFungua tu kliniki ya tiba mbadala hayo mawe yasage vzr unga wake chekecha upate vumbi ni mzuri sana kwa nguvu za kiume peleka daslam utapiga sana pesa,nicheki pm tufanye biashara.
NimekusomaQuartz jombaa, hyo thaman kimtindo hakuna ila yenye ubora watu wauza kwa kilo ni nadra sana usisumbuke nayo hayo, ila, mbona hyo quartz kama ina kimkanda flani hivi labda hiko kimkanda ndo kikufikirishe, ANGALIZO usjarbu biashara ya madini bila taarifa au ujuzi sahihi, ππ
Tunapoelekea watanzania tutakuja kugundua vitu vya kisayansi haki ya mama Magu akiendelea kukaza hivi vijana watazidi kufikiria kwakutumia vichwaHahahahaha, mkuu haya yatapita, 2020 ni kazi na bata.
Asante kwa maarifaQuartz hyo Inatakiwa iwe clear
Size kuanzia kg1 na kuendelea!
Mara ya mwisho bei ilikuwa 40000/ kwa kg 1
Ila kwa sasa biashara ya madini imekuwaa ja huuu...
Buyers wakubwa ni wachina ambapo kwa sasa hakuna anayechukua kutokana na usafirishaji wa madini kusitishwa na serikali...
Zipo quartz zingine ni crystal quartz(zile zenye ncha,michongoko)hzo kg1 ni 60000 mpk 70000/
Chakuzingatia quartz ni size ziwe kuanzia kg1 and above,na quartz hzo za mapande jiwe moja huwa linatokaga kama tofali ardhini
Unapoitoa usivunje vibaya ili isitengeneze inclusion au moshi ndani
Ova