Msaada: Madini gani haya?

Msaada: Madini gani haya?

Musyoks

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
264
Reaction score
157
Habari wakuu,

Namba kujulishwa ni madini gani haya? Yana value yoyote katika soko la madini? And if so, soko lake liko wapi?
Natanguliza shukrani
IMG-20181208-WA0051.jpg
IMG-20181208-WA0046.jpg
IMG-20181208-WA0047.jpg
IMG-20181208-WA0049.jpg
 
Ulanga hayo hayana ishu hapa labda mbele mbele kwa wajuzi wa mambo
 
Quartz jombaa, hyo thaman kimtindo hakuna ila yenye ubora watu wauza kwa kilo ni nadra sana usisumbuke nayo hayo, ila, mbona hyo quartz kama ina kimkanda flani hivi labda hiko kimkanda ndo kikufikirishe, ANGALIZO usjarbu biashara ya madini bila taarifa au ujuzi sahihi, 🙂🙂
 
Fungua tu kliniki ya tiba mbadala hayo mawe yasage vzr unga wake chekecha upate vumbi ni mzuri sana kwa nguvu za kiume peleka daslam utapiga sana pesa,nicheki pm tufanye biashara.
Asante mkuu
 
Quartz jombaa, hyo thaman kimtindo hakuna ila yenye ubora watu wauza kwa kilo ni nadra sana usisumbuke nayo hayo, ila, mbona hyo quartz kama ina kimkanda flani hivi labda hiko kimkanda ndo kikufikirishe, ANGALIZO usjarbu biashara ya madini bila taarifa au ujuzi sahihi, 🙂🙂
Nimekusoma
 
Quartz hyo Inatakiwa iwe clear
Size kuanzia kg1 na kuendelea!
Mara ya mwisho bei ilikuwa 40000/ kwa kg 1
Ila kwa sasa biashara ya madini imekuwaa ja huuu...
Buyers wakubwa ni wachina ambapo kwa sasa hakuna anayechukua kutokana na usafirishaji wa madini kusitishwa na serikali...
Zipo quartz zingine ni crystal quartz(zile zenye ncha,michongoko)hzo kg1 ni 60000 mpk 70000/

Chakuzingatia quartz ni size ziwe kuanzia kg1 and above,na quartz hzo za mapande jiwe moja huwa linatokaga kama tofali ardhini
Unapoitoa usivunje vibaya ili isitengeneze inclusion au moshi ndani

Ova
 
Asante kwa maarifa
 
Back
Top Bottom