Msaada: Madoa meusi mgongoni dawa yake ni nini?

kunalkunal951

Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
89
Reaction score
12
Kaka yangu anamadoa madoa meusi mgongoni saivi ina miaka saba dawa yake nini?
 
Usikimbilie kutaka dawa ni vizuri zaidi ukauliza madoa meusi yanasababisha na nini.
 
Tumia dawa inaitwa sonaderm ..pakaa asubuh na jion kwa siku 7 ukiona hakuna mabadiliko muone dr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…