Msaada: Madoa meusi mgongoni dawa yake ni nini?

Msaada: Madoa meusi mgongoni dawa yake ni nini?

Usikimbilie kutaka dawa ni vizuri zaidi ukauliza madoa meusi yanasababisha na nini.
 
Tumia dawa inaitwa sonaderm ..pakaa asubuh na jion kwa siku 7 ukiona hakuna mabadiliko muone dr.
 
Back
Top Bottom