Msaada madokta

Msaada madokta

H Badi

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
14
Reaction score
2
madokta hivi mtoto wa miezi 3 anaweza kupata ugonjwa wa UTI kweli???,nisaidieni jibu la hili swali madokta
 
anaweza sana tu, hasa watoto wa kike wasipobadilishwa nguo marakwa mara
 
madokta hivi mtoto wa miezi 3 anaweza kupata ugonjwa wa UTI kweli???,nisaidieni jibu la hili swali madokta

hupata sana kwa sababu ya kujikojolea mara nyng sasa akikaa bila kuoshwa lazima wadudu wapande juu kupitia mrija wa mkojo, mana asiwe mshamba osha mtoto maranying, pia asikae na mimpapas mda mrefu, au asitumie kabisa


pampas haipendekezwi kabisa ndo mleta UTI mkubwa, zpitezeeni kama mnawapenda watoto wenu


sasa kama anachemka mtoto, alna analia wakati wa kukojoa mnunulien CEPHALEXIN SYRUP
 
Sababu nyingine mbali na walizotoa wadau hapo juu, ni maji ya kuoga kumwogesha maji ya bomba yaani tap water kwa kuzimua alone yanakuwa source of infection too hasa ambayo hayawi treated kama ya Morogoro. Mimi mtoto wangu wa kike alipotimiza 5months alianza kupata UTI kila mara na joto lilikuwa linapanda sana, lakini hatapiki wala kuharisha. Baada ya hapo niliamua kuwa namwogesha maji yaliyochemshwa na kupoozwa tangu akiwa na miezi 8 hadi leo anamiaka 3.5 kaugua uti mara moja tu. Mara nyingi alizougua zote ilikuwa malaria. Huu ni uzoefu wangu kama Dr kwa mtoto wangu mwenyewe. Take note on this na asivalishwe pampas labda kama unasafiri you can do that coz u do not have an options. Have a good new year
 
Back
Top Bottom