Sababu nyingine mbali na walizotoa wadau hapo juu, ni maji ya kuoga kumwogesha maji ya bomba yaani tap water kwa kuzimua alone yanakuwa source of infection too hasa ambayo hayawi treated kama ya Morogoro. Mimi mtoto wangu wa kike alipotimiza 5months alianza kupata UTI kila mara na joto lilikuwa linapanda sana, lakini hatapiki wala kuharisha. Baada ya hapo niliamua kuwa namwogesha maji yaliyochemshwa na kupoozwa tangu akiwa na miezi 8 hadi leo anamiaka 3.5 kaugua uti mara moja tu. Mara nyingi alizougua zote ilikuwa malaria. Huu ni uzoefu wangu kama Dr kwa mtoto wangu mwenyewe. Take note on this na asivalishwe pampas labda kama unasafiri you can do that coz u do not have an options. Have a good new year