Wakuu heshima mbele.....Ninahitaji meter flan za Maji aina ninayotaka hapa DAR hakuna nimekuja humu nikiamini kila kitu kinachohusu biashara kinawezekana ...
Ombi km kuna mtu anajua MADUKA Makubwa ya Hardware pale NAIROBI nikipata mawasiliano yahuko .....Mtakuwa mmenisaidia sana.....wandgu Natanguliza Shukrami
Mkuu nakushukuru sana kwa Bandiko hili.....Nitasafiri...Khs jamaa wa DAVIS nawafahamu wanaofisi pia karibu na kwangu Kariakoo...Sema hawa jamaa Bidhaa zao ni ghali sana...ukinunua kwao huwezi kuuza popote Labda ukatumie home.....!