Wakuu mdogo wangu ana kesi ya jinai. Hearing ni tarehe 2 Desemba. Nimepitia na kusoma maelezo ya mlalamikaji na kukuta kuna paragraph zinatofatiana na charge sheet iliyoko mahakamani.
Mfano, kwenye charge sheet kuna shitaka linasema tarehe 01 mshitakiwa alikuwa pamoja na mlalamikaji ilihali katika maelezo ya mlalamikaji mlalamikaji alisema tarehe hiyo wala hawakukutana.
Je, hiyo ina madhara gani kwa pande zote mbili?