Msaada: Maelezo ya mlalamikaji yanatofautiana na Charge Sheet

Msaada: Maelezo ya mlalamikaji yanatofautiana na Charge Sheet

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Wakuu mdogo wangu ana kesi ya jinai. Hearing ni tarehe 2 Desemba. Nimepitia na kusoma maelezo ya mlalamikaji na kukuta kuna paragraph zinatofatiana na charge sheet iliyoko mahakamani.

Mfano, kwenye charge sheet kuna shitaka linasema tarehe 01 mshitakiwa alikuwa pamoja na mlalamikaji ilihali katika maelezo ya mlalamikaji mlalamikaji alisema tarehe hiyo wala hawakukutana.

Je, hiyo ina madhara gani kwa pande zote mbili?
 
Wala hakuna tatizo hapo. Charge sheet iko sawa na Maelezo ya mlalamikiwa yapo sawa. Kitakachodhibitisha UKWELI na USAHIHI wa ama charge au maelezo ya mlalamikiwa ni USHAHIDI utakaotolewa mahakamani.
 
Back
Top Bottom