Msaada: Maeneo ya kupata appartment ya vyumba viwili kwa Tsh. 100,000 - 130,000 pembezoni mwa mji wa Morogoro

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Naombeni kufahamu maeneo yalio pembezoni mwa mji wa Morogoro (isiwe barabara ya kwenda Dodoma) ambayo naweza kupata appartment yenye vyumba 2 na sebule kwa bajeti ya 100,000/= mpaka 130,000/= kwa mwezi. Kuwe na usafiri wa uhakika kwenda mjini.

Ahsanteni.
 
Vyumba 2 na sebule kwa hiyo bei hupati, on average wanafanya kwa room elf 40 mpaka 50...
 
Kihonda mwisho, kiegea, misongeni,kilimanjaro na huko sio appartment ni nyumba ambazo hawajahamia..kwa appartments aina hyo ya nyumba uwe kwanzia 200k utapata mjjin mjjn kama kola, bigwa knyembe etc
 
Aende Mafiga kule 150k anapataa.
 
Kihonda mwisho, kiegea, misongeni,kilimanjaro na huko sio appartment ni nyumba ambazo hawajahamia..kwa appartments aina hyo ya nyumba uwe kwanzia 200k utapata mjjin mjjn kama kola, bigwa knyembe etc
Asante mkuu hiyo mitaa uliyonitajia usafiri ni uhakika?
 
Kuna vibaka eneo hilo nini? Ni mitaa ipi ni salama?
Sehemu ya kodi ndogo ujiandae kwa yote usafiri mgumu ,vibaka nk ni.kama kwenda kwa mama nitilie anauza wali maharage sahani shilingi elfu moja halafu unaomba akupe umma na kisu uvitumie kula wali kama hoteli ya kitalii
 
Kihonda mwisho, kiegea, misongeni,kilimanjaro na huko sio appartment ni nyumba ambazo hawajahamia..kwa appartments aina hyo ya nyumba uwe kwanzia 200k utapata mjjin mjjn kama kola, bigwa knyembe etc
Misongeni ni kule mbele ya Bigwa?
 
Back
Top Bottom