Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Aende Mafiga kule 150k anapataa.Kihonda mwisho, kiegea, misongeni,kilimanjaro na huko sio appartment ni nyumba ambazo hawajahamia..kwa appartments aina hyo ya nyumba uwe kwanzia 200k utapata mjjin mjjn kama kola, bigwa knyembe etc
Asante mkuu, usafiri si uhakika?Aende Mafiga kule 150k anapataa.
Asante mkuu hiyo mitaa uliyonitajia usafiri ni uhakika?Kihonda mwisho, kiegea, misongeni,kilimanjaro na huko sio appartment ni nyumba ambazo hawajahamia..kwa appartments aina hyo ya nyumba uwe kwanzia 200k utapata mjjin mjjn kama kola, bigwa knyembe etc
Unataka wakamsaule kila kitu si ndio mchumba?Aende Mafiga kule 150k anapataa.
Kuna vibaka eneo hilo nini? Ni mitaa ipi ni salama?Unataka wakamsaule kila kitu si ndio mchumba?
meona budget yake?Aende Mafiga kule 150k anapataa.
Sehemu ya kodi ndogo ujiandae kwa yote usafiri mgumu ,vibaka nk ni.kama kwenda kwa mama nitilie anauza wali maharage sahani shilingi elfu moja halafu unaomba akupe umma na kisu uvitumie kula wali kama hoteli ya kitaliiKuna vibaka eneo hilo nini? Ni mitaa ipi ni salama?
Asante, kote si kuna daladala za uhakika za kwenda mjini?Area M Nyuma Ya Cate Hotel, Kingolwira, Pangawe Jeshini, Misongeni
Tubuyu ,
Morogoro daladala ni uhakika ili mradi upo karibu au umefika barabarani.Asante, kote si kuna daladala za uhakika za kwenda mjini?
Daladala ZipoAsante, kote si kuna daladala za uhakika za kwenda mjini?
ShukraniDaladala Zipo
Misongeni ni kule mbele ya Bigwa?Kihonda mwisho, kiegea, misongeni,kilimanjaro na huko sio appartment ni nyumba ambazo hawajahamia..kwa appartments aina hyo ya nyumba uwe kwanzia 200k utapata mjjin mjjn kama kola, bigwa knyembe etc
Hapo umeandika Nini sasa?Vyumba 2 na sebule kwa hiyo bei hupati, on average wanafanya kwa room elf 40 mpaka 50...
EwaaaaMisongeni ni kule mbele ya Bigwa?
Choo jiko stoo nazo ni room ujueHapo umeandika Nini sasa?
Haya average 40k per room, room 2 sebule 120k? Mbona upo bado kwenye bajet
Nimekupata mkuu, ila akijisogeza kidogo tu kwenye bajeti yake atapataChoo jiko stoo nazo ni room ujue