Msaada: Mafunzo ya kutengeneza sandals za kimasai

Msaada: Mafunzo ya kutengeneza sandals za kimasai

melanin gal

Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
57
Reaction score
22
Wakuu, habari za muda huu...
Naomba kuelekezwa sehemu yeyote Dar es Salaam ninayoweza kupata mafunzo ya kutengeneza sandals za kimasai. Ikiwa maeneo ya Kimara na Mbezi ya kimara nitafurahi zaidi
 
Back
Top Bottom