MSAADA; Mafunzo ya Urubani

MSAADA; Mafunzo ya Urubani

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
412
Reaction score
90
Salaam;

Tafadhali kama kuna anayefahamu;

1.Chuo chochote aidha hapa Nchini ama East Africa kinachotoa mafunzo ya Urubani
2.Sifa anazopaswa kuwa nazo mwanafunzi
3.Ikiwezekana na gharama za fee

Kindly advice.....
 
Nenda terminal one Jkn international airport kuna chuo pale utapata maelezo na ada.
 
Afadhali usome hapa hapa maana gharama zake ziko juu kidogo kule south africa ndiko vyuo viko tele...anzia pale terminal 1 pale
 
Back
Top Bottom