Msaada; Mafuta ya kukuza ndevu

Msaada; Mafuta ya kukuza ndevu

alcacer

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
238
Reaction score
203
Heshima Yenu Wakubwa!

[emoji2321] Nije kwenye Mada Mimi ni kijana wa Miaka 21 now ,. sijui ni Tatizo ama zitachelewa kuota[emoji848]

Sina ndevu! nazitaka kweli yan NIFANYE NINI?.

natanguliza Shukran kwa Bro's.
 
Heshima Yenu Wakubwa![emoji2321] Nije kwenye Mada Mimi ni kijana wa Miaka 21 now ,. sijui ni Tatizo ama zitachelewa kuota[emoji848] Sina ndevu! nazitaka kweli yan NIFANYE NINI?.

natanguliza Shukran kwa Bro's.
Una dawa zile za 20k mpaka 25k zinakuza ndevu mi binafsi Sina ila nimekuzidi miaka to kadhaa mingi mbele
 
Shukuru wewe huna ndevu....

Kuna ambao wana 40 yiaz na kule maeneo hakuna vinyweleo....

Kuna wana nywele na maeneo yote ila wamepewa maumbile madogo....

Kuna wamepewa vingi/vikubwa sana hadi wanaona kero....

Shukuru kile ulichonacho songa mbele.
 
Heshima Yenu Wakubwa![emoji2321] Nije kwenye Mada Mimi ni kijana wa Miaka 21 now ,. sijui ni Tatizo ama zitachelewa kuota[emoji848] Sina ndevu! nazitaka kweli yan NIFANYE NINI?.

natanguliza Shukran kwa Bro's.
Ili upete unacho kitaka, rudi nyumbani ukachukue mavi ya kuku yale malaini kisha changanya na pilipili kichaa 10, maana ya hapo tukua vumbi la upupu changanya, kisha chukua myaa weka utomvu wa kutosha kisha ukisha koroga vizuri paka usoni na hakikisha unasungua ili dawa ikae uzuri. Itakuwasha kwa mbaaaali sana ila vumilia hadi dawa ikauke na kisha utakupata unacho kitafuta....😎😶
 
Back
Top Bottom