De Kriging
Member
- Feb 7, 2019
- 56
- 30
Naishi maeneo ya riverside naomba kuelekezwa driving school ya Karibu na ninapoishi ,nzuri na isiyo na gharama kubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana tafanya hivo.Nenda HARVARD DRIVING SCHOOL wapo vizuri sana na magari yao ni mapya
Namba zao za simu:
+255688127575
0717305111
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana, naweza pata namba zao?
Nenda HARVARD DRIVING SCHOOL wapo vizuri sana na magari yao ni mapya...
nenda amazon college magomeni pale wapo vizuri sanaAchana na hivi vi driving school ambavyo gari zao mwisho gear tano. Nenda NIT ukafundishwe kuendesha roli lenye gia 18!
Leseni inakuaje? Wanashughulikia wao?Nenda HARVARD DRIVING SCHOOL wapo vizuri sana na magari yao ni mapya
Namba zao za simu:
+255688127575
0717305111
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha upya wa kibongo sio ule upya wa kizungu yani yana condition nzuri yana ac na gia ni laini na sio machakavu ndo namaanisha hvo maana driving xkul nyingine gari unaenda jifunzia mpka unaliogopaHahaha amna driving yenye magari mapya bongo, sijaona hebu usimdanganye mwenzako!
Yah wanakushughulikia na uzuri unapata mda mwingi wa kuendesha kidogo na walimu wapo vizuri
Gari utafikili la movie ya wrong turnHaha upya wa kibongo sio ule upya wa kizungu yani yana condition nzuri yana ac na gia ni laini na sio machakavu ndo namaanisha hvo maana driving xkul nyingine gari unaenda jifunzia mpka unaliogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Namie natafuta jamani.
Naishi mitaa ya ubungo. Halafu bajeti yangu haizidi 200,000