Msaada: Mahali pa kujifunzia magari (Driving school)

Msaada: Mahali pa kujifunzia magari (Driving school)

De Kriging

Member
Joined
Feb 7, 2019
Posts
56
Reaction score
30
Naishi maeneo ya riverside naomba kuelekezwa driving school ya Karibu na ninapoishi ,nzuri na isiyo na gharama kubwa sana.
 
nenda lufungila pale huwa naona kuna driving school mbili zipo karibu karibu pale( mlimani na victory)
 
Achana na hivi vi driving school ambavyo gari zao mwisho gear tano. Nenda NIT ukafundishwe kuendesha roli lenye gia 18!
 
Ni vizuri upate chuo kinachofundisha kwa vitendo zaidi,angalau kwa asilimia 80%
 
Namie natafuta jamani.
Naishi mitaa ya ubungo. Halafu bajeti yangu haizidi 200,000
 
Back
Top Bottom