Msaada mahali zitengenezwapo Chupa tupu za maji (plastic bottles)

Msaada mahali zitengenezwapo Chupa tupu za maji (plastic bottles)

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,262
Reaction score
1,773
Heshima kwenu wadau.
Naandika kama mwakilishi wa vijana graduates tuloamua kuwa na firm ya kuzalisha maji ya kopo nje ya dar.
naomba kuuliza kwenu mahali panapotengenezwa chupa za maji mbali na kwa bakhresa. n pia kama kna mweny idea ya bei kwa chupa
 
mkuu pole namajukumu kwa dar kuna kiwanda kinaitwa Poly(kama sijakosea) wako makonde mbezi beach wanatengeneza chupa za ujazo tofauti tofauti.KIMSINGI UKICHUKUA PRODUCT ZOTE ZA PLASTIC KAMA NDOO UTAONA KWENYE MFUNIKO AU KITAKO CHA NDOA KUNA NUMBER ZA SIMU WAPIGIE HAO NDO WANATENGENEZA HADI CHUPA ZA UJAZO MBALI MBALI. ASANTE

Back
Top Bottom