Msaada, Majibu ya vipimo vya mkojo PROTEIN +,KETONES + ni ishara ya kitu gani mwilini

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut siku mbili tofaut majibu yakaja mkojo una protein + na ketones+ .
Wakamuandikia dawa akinywa anakua freshi baada ya masaa kadhaa kichwa kinaanza kumuuma sana
Wakuu mkojo ukiwa na protein + na ketones+ ni ishara ya nin mwilini
 
Alipewa dawa gani? Majibu mengine ya kipimo cha damu yako wapi? Naona taarifa nusunusu tu.
 
Check typhoid malaria
Au full blood picture
 
Protein kuonekana kwenye mkojo sio ishara nzuri
 
Ni jinsia gani?. ? Umri wake ? ana Mimba ? Matumizi ya Pombe ?.Mfanya mazoezi? Familia yenu Ina kisukari au magonjwa ya Figo ?

Amepima Sukari ? Amepima Presha?. Kiwango Cha Mafuta mwilin?
 
Jinsia me,miaka30,mazoezi kaanza anakama miezi2, hapana hakuna sukari Wala magonjwa ya figo
 
Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut siku mbili tofaut majibu yakaja mkojo una protein + na ketones+ .
Wakamuandikia dawa akinywa anakua freshi baada ya masaa kadhaa kichwa kinaanza kumuuma sana
Wakuu mkojo ukiwa na protein + na ketones+ ni ishara ya nin mwilini
Ketones are chemical compounds produced by the liver when there is not enough glucose (sugar) available for energy. They are a normal part of the body's metabolism, but high levels of ketones can be a sign of a serious medical condition.
There are three main types of ketones:
* Acetone: The most common type of ketone.

* Acetoacetic acid: A type of ketone that is produced in the liver.

* Beta-hydroxybutyric acid: A type of ketone that is produced in the liver.

Ketones are produced when the body breaks down fats for energy. This process is called ketogenesis. Ketogenesis occurs when the body does not have enough glucose for energy, such as during fasting, exercise, or a low-carbohydrate diet.
Ketones can also be produced in people with diabetes who do not have enough insulin. Insulin is a hormone that helps the body use glucose for energy. When there is not enough insulin, the body cannot use glucose for energy and instead breaks down fats for energy, which produces ketones.
High levels of ketones in the blood can lead to a condition called ketoacidosis. Ketoacidosis is a serious condition that can be life-threatening. Symptoms of ketoacidosis include:
* Nausea and vomiting
* Abdominal pain
* Dehydration
* Confusion
* Fatigue
* Rapid breathing
* Fruity-smelling breath
If you have any of these symptoms, it is important to seek medical attention immediately.
There are a number of ways to measure ketone levels. These include:
* Urine ketone test: This is a simple test that can be done at home. Urine ketone tests are available over-the-counter at most pharmacies.
* Blood ketone test: This is a more accurate test that can be done by a healthcare professional. Blood ketone tests are typically used in hospitals and clinics.
If you are concerned about your ketone levels, it is important to talk to your doctor. They can help you understand your risk for ketoacidosis and recommend the best way to manage your ketone levels.
 
Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut siku mbili tofaut majibu yakaja mkojo una protein + na ketones+ .
Wakamuandikia dawa akinywa anakua freshi baada ya masaa kadhaa kichwa kinaanza kumuuma sana
Wakuu mkojo ukiwa na protein + na ketones+ ni ishara ya nin mwilini

Habari,

Utafsiri wa majibu huendana na historia ya mgonjwa na maisha halisi. Kuna matatizo yanayowezekana yakawa ni kwenye njia ya mkojo yenyewe au nje ya njia ya mkojo/mwilini.

Ni kweli au wakati mwingine si kweli kuwa Ketoni au protini huweza kuwa ni ishara ya figo kuwa na shida au kuwa ni phisioligia ya kawaida.
Hivyo, TAFSIRI yake hutegemea pia kiasi chake kwenye mkojo NA hali halisi ya mgonjwa amnayo hupatikana kwa:
1: Historia ya mgonjwa
2: Ukaguzi/examination
3: Vipimo jumuishi kumhusu mgonjwa.

A: Baadhi ya sababu zinazowezesha uwepo wa ketoni kwenye mkojo ni:
1: Kama haujanywa maji ya kutosha.
2: Kama umefunga/kula.
3: Kama umetumia kiasi kikubwa cha pombe.
4: Kama una tatizo la sukari muda mrefu na/au hauja-control vizuri sukari

B: Baadhi ya sababu ya upatikanaji wa protini kwenye mkojo.
1: Kama haujanywa maji ya kutosha.
2: Kama kuna kisababishi cha chembe nyekundu za damu kuvunjiak mfano: maambukizi/infection nk.
3: Kama kuna chanzo chchote cha damu kutokeza kwenye njia ya mkojo mfano: kijiwe kuchubua njia ya mkojo, maambukizi ya njia ya mkojo nk.
4: Kama una tatizo la presha kwa muda mrefu au hauja-control vizuri presha.
5: Kama una tatizo la sukari muda mrefu na/au hauja-control vizuri sukari

NB: Majibu/jibu halisi litategemea na mhusika na mjumuiko wa hayo hapo juu. Mhudumu wa afya/daktari anaweza kukuongoza vyema kufikia mwafaka wa nini hasa chanzo na nini kifanyike.
 
Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut siku mbili tofaut majibu yakaja mkojo una protein + na ketones+ .
Wakamuandikia dawa akinywa anakua freshi baada ya masaa kadhaa kichwa kinaanza kumuuma sana
Wakuu mkojo ukiwa na protein + na ketones+ ni ishara ya nin mwilini
Figo iko sawa ?
 
Back
Top Bottom