Msaada majina mawili kwenye Academic Certificates na kitamburisho

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Hello,

Naomba mnisaidie ambao mmeudhuria interview za utumishi.

Kwenye vyeti vya form four, six, chuo na Cha kuzaliwa natumia majina mawili tu (AMANI FOCUS)

Kwanye kitamburisho Cha mpiga kura uwa wanalazimisha ujiandikishe Kwa majina matatu. Sasa ukitumia kitambulisho Cha NIDA, au Cha mpiga kura chenye majina matatu Kuna shida?

Maana vyeti VYOTE majina Yako sawa, isipokuwa cha NIDA na Cha mpiga kura ambapo wanakusajiri Kwa majina matatu.

Hapo ukienda interview za utumishi,,,watakubali?

Msaada
 
hakuna shida nina interview 3 utumishi cert majina 2 vitambul ma3 sijawahi hata kuulizwa,jiandae na interview mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…