bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Atlantic records hawana producers. Wao wana deal na kusambaza kazi za msanii kumfanyia promotion.
Wiz khalifa na Maybach music na wengineo wengi wapo chini ya Atlantic records ila kama ni production wanafanyiwa na producers wengine wengi. Mf Meek Mill anafanyiwa na producer anaitwa Jahlil beats. Pia Maybach Music wana producers wao kama Beats bilionear.
mkuu unakosea Atlantic Records wana ma producers wao wengi sana tu sema wako attached na
labels kama
Big Tree recors
Ear Drum Records
GrandHustle Records na nyingine nyingi
vile vile hawa sio wasambazaji wao uzambazaji wao kwa usa unafanywa na parent company yao iitwayo Atlantic Records Group na nje ya usa inasambazwa na warner music