Msaada: Majina ya Producers wa Atlantic Recods ya New York

Msaada: Majina ya Producers wa Atlantic Recods ya New York

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Wakuu nimechajirbu kuchek google bt sijafanikiwa au may b search yangu haikuwa correct. Kwa mwenye kuwafaham kwa majina watayarishaj wa beats wa Studio ya Atlantic Records ya Marekani.

Jamaa beats zao nazkubal sana hasa ukisikiliza songz za T.I, Wiz Khalifa, Lupe Fiasco, Ludacris, Yung jeezy. Mwenye kuwafaham kwa majna hawa producerz anifahamishe.

Plz mtu astukane ni burudan tu na kuelewa zaidi.
 
Mkuu kwanza unatakiwa uelewe kuwa. Kuna tofauti sana ya urekodiji wa musiki kati ya marekani na huku lastly
/nyimbo nyingi za wasanii wa marekani zinarekodiwa kwenye studio zao na maproducers wao wenyewe then hiyo Atlantic sijui universal au wb wanabaki kuwa ma executive producers tu wao wana. Dili na distribution na promotions kwa asilimia nyingi kwa upande wa wasanii wa hip-hop ila aka
Bands za rock na Jana nyingine ya muziki ni. Tofauti kidogo

Nitaelezea vizuri baadae ngoja niendelee na mishe mishe
 
Atlantic records hawana producers. Wao wana deal na kusambaza kazi za msanii kumfanyia promotion.
Wiz khalifa na Maybach music na wengineo wengi wapo chini ya Atlantic records ila kama ni production wanafanyiwa na producers wengine wengi. Mf Meek Mill anafanyiwa na producer anaitwa Jahlil beats. Pia Maybach Music wana producers wao kama Beats bilionear.
 
mkuu unakosea Atlantic Records wana ma producers wao wengi sana tu sema wako attached na
labels kama
Big Tree recors
Ear Drum Records
GrandHustle Records na nyingine nyingi

vile vile hawa sio wasambazaji wao uzambazaji wao kwa usa unafanywa na parent company yao iitwayo Atlantic Records Group na nje ya usa inasambazwa na warner music
 
Nashukuru kwa kunisahihisha na kunipa elimu
 
Back
Top Bottom