Acha uongo bwana!!hakuna utaratibu kama huo kwenye hesabu za biashara uingize na indirect expenses?ambazo hazihisiani na biashara moja kwa moja?!!umeme, rent, salaries&wages, telephone&internet sawa!!eti kula chakula, mafuta ya wewe kwenda kwenye biashara,?nayo uyaingize kwenye.matumizi ya biashara hakuna kitu kama hicho!!kulipa kodi kidogo kuna mambo mengi , , kuna tax avoidance, na tax evasion ndio wengi wanatumia chaka hizo kulipa kodi kidogo kwa kuwatumia wataalamu, hasa kwenye TAX AVOIDANCE.Wewe unadhania kila tumizi linaingizwa kwenye heaabu za biashara?!!
Kama ni gharama za usafiri lazima zihusiane na biashara moja, ie carriage in, na out!!