Msaada Makadirio ya Kuweka Fensi

Msaada Makadirio ya Kuweka Fensi

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
Naombeni mchanganuo wa gharama ya kuweka fensi kwa kutumia nguzo za simenti na waya. Ni kwa Kiwanja chenye ukubwa 20*30. Ni kwa DSM.
 
Back
Top Bottom