Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,410 Reaction score 1,325 Jan 10, 2012 #1 Naombeni mchanganuo wa gharama ya kuweka fensi kwa kutumia nguzo za simenti na waya. Ni kwa Kiwanja chenye ukubwa 20*30. Ni kwa DSM.
Naombeni mchanganuo wa gharama ya kuweka fensi kwa kutumia nguzo za simenti na waya. Ni kwa Kiwanja chenye ukubwa 20*30. Ni kwa DSM.