Wakati unableed mkuu jitahdi unawe na maji ya dettol else kuna fungus zinabaki katikati utawashwa milele na ukiacha zinaenda ndan unakuwa unatamani mtu awe anakukuna nyuma kila saaaa
mikono ikiwasha ni dalili ya kupata hela, macho yakicheza nidalili ya mgeni, miguu ikiwasha ni dalili ya safari Bibi yangu aliniambia sasa makalio yakiwasha je???
Muone dakatari.Halafu epuka kutumia vyoo vya kukalia ambvyo mtumiaji ni zaidi ya mmoja.Kwani wakati mwingine kuna uwezekano katika choo kile hakuna usafi na hivyo kuacha uchafu kama mtu aliyekitumia awali alikuwa ana "infection" kwenye makalio.