Msaada makalio yananiwasha sana

Msaada makalio yananiwasha sana

Andika Jina

Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
43
Reaction score
3
Wakuu,mara nyingi nawashwa sana makalio hadi najisikia kero.Hili linasababishwa na nini?I request to submit.
 
Wakuu,mara nyingi nawashwa sana makalio hadi najisikia kero.Hili linasababishwa na nini?I request to submit.

cheki minyoo mkuu hasa kama yanawasha kwenye au around m.-----

ila kama ni kwenye nyama za ----, angalia chupi unazovaa na sabuni za kufulia na kuongea
 
Ni ile mistari ya kupasuka unene
Pole........tafuta mafuta ya ubuyu au olive oil upake vitapoa coz ukikuna itavimba
 
Wakati unableed mkuu jitahdi unawe na maji ya dettol else kuna fungus zinabaki katikati utawashwa milele na ukiacha zinaenda ndan unakuwa unatamani mtu awe anakukuna nyuma kila saaaa
 
Jamani wakunduguzangu,mimi ni mwanaume siblidi.Kwani wanaume wanablidigi?Nawasilisha.
 
kama ni mwanaume jitahidi sana kuvaa nguo zilikauka na jua sio ndani kwenye giza.
 
mikono ikiwasha ni dalili ya kupata hela, macho yakicheza nidalili ya mgeni, miguu ikiwasha ni dalili ya safari Bibi yangu aliniambia sasa makalio yakiwasha je???
 
Naona kila mmoja anadhania lake.
Mkuu hebu wambie wewe ni mwanamke au mwanaume kwanza!!
 
Muone dakatari.Halafu epuka kutumia vyoo vya kukalia ambvyo mtumiaji ni zaidi ya mmoja.Kwani wakati mwingine kuna uwezekano katika choo kile hakuna usafi na hivyo kuacha uchafu kama mtu aliyekitumia awali alikuwa ana "infection" kwenye makalio.
 
Back
Top Bottom