makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Napiga mara kwa mara hawaniunganishi na mhudumu wao, inaonesha wapo busy mnooPole mkuu.wapigie cm wakuambie wapo wapi
Unajua sadaka nishatoa sh ngapi, mbona unaongea kama una pumbu moja mkuu.ungetoa sadaka.si ungejiongezea daraja kwa mungu
pole sana.Unajua sadaka nishatoa sh ngapi, mbona unaongea kama una pumbu moja mkuu.
Yawezekana hili pekee ndio uliokuwa umesahau.pole sana.
relax.Fanya kama umepoteza maana kurudi NI ndoto.
Poa poa kiongozi.Wapigie 0715 000 000 inapatikana muda wote
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Hao jamaaa hawana ofisi bongo ila kuna maajent wao tu
Mkuu umewamudu?[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Sijafanikiwa mkuu.Mkuu umewamudu?