makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mwenye kujua ofisi za meridianbet zilipo anisaidie, nimebugi katika kuweka pesa nimekosea id badala ya 1476251 nimeweka 1475261, nimejaribu kuwapigia simu wanadai hawawezi kurejesha hiyo pesa kisa account niliyokosea ni ya tz, ingekuwa nje pesa ingerudi, sasa nataka niwatimbie huko huko ofisi kwao.
Mpunga wenyewe 115000 unapotea kizembe bora hata wangekuwa wamenila halafu uchwai zaidi game niliotaka kuziwekea siku hyo timu zote zimetoa ndio nafsi inapopata maradhi mara 2
Mpunga wenyewe 115000 unapotea kizembe bora hata wangekuwa wamenila halafu uchwai zaidi game niliotaka kuziwekea siku hyo timu zote zimetoa ndio nafsi inapopata maradhi mara 2