Matindi94 Member Joined Oct 12, 2016 Posts 47 Reaction score 50 Oct 18, 2019 #1 *Za kaz wakuu naomba mwenye maelezo yale ya malipo ya kamishen na bonas kwa frelensa za voda,tigo,ttcl, na airtel anitumie* Natanguliza shukuran
*Za kaz wakuu naomba mwenye maelezo yale ya malipo ya kamishen na bonas kwa frelensa za voda,tigo,ttcl, na airtel anitumie* Natanguliza shukuran
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 18, 2019 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
BradFord93 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 917 Reaction score 2,217 Oct 18, 2019 #3 Unalipwa kulingana.na connection..!!lain ulizosajili...kiwango cha matumizi yao hasa kwenye vocha na pesa...!! Ila pia kuna bonus kulingana na idadi....so ukisajili nyingi ndo pesa hua inakuwa nyingi
Unalipwa kulingana.na connection..!!lain ulizosajili...kiwango cha matumizi yao hasa kwenye vocha na pesa...!! Ila pia kuna bonus kulingana na idadi....so ukisajili nyingi ndo pesa hua inakuwa nyingi