Msaada malipo kwa frelanca

Msaada malipo kwa frelanca

Matindi94

Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
47
Reaction score
50
*Za kaz wakuu naomba mwenye maelezo yale ya malipo ya kamishen na bonas kwa frelensa za voda,tigo,ttcl, na airtel anitumie*

Natanguliza shukuran
 
Unalipwa kulingana.na connection..!!lain ulizosajili...kiwango cha matumizi yao hasa kwenye vocha na pesa...!!

Ila pia kuna bonus kulingana na idadi....so ukisajili nyingi ndo pesa hua inakuwa nyingi
 
Back
Top Bottom