Achemshe Chai ya Tangawizi kisha anywe itamsaidia kuzuia kutapika.Kama nilivyoeleza hapo juu ni msaada upi au dawa zipi au chakula gani anatakiwa kula mama mjamzito wa mwezi mmoja kuelekea miezi miwili.
Anatapika mno kila chakula au chochote anachokula anatapika.
Je asaidiweje?
Achemshe Chai ya Tangawizi kisha anywe itamsaidia kuzuia kutapika.
Vyakula vinavyopunguza kichefuchefu kwa wajawazito
View attachment 319076
Ni swala la kawaida kwa mwanamke akiwa mjamzito linaitwa kitaalam HYPEREMESISI GRAVIDARUM, na linatokana na ongezeko la hormone za bHCG pamoja na progestrone! Kitu cha msing n kwamba anatapika mara ngap kwa siku?? Unaweza mnunulia dawa ya kupunguza kutapika e.g promethazine (phenegan) itasaidia pia na nutritional suport...