Msaada: Mama mjamzito wa mwezi mmoja anatapika kupita kiasi

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
4,473
Reaction score
4,666
Kama nilivyoeleza hapo juu ni msaada upi au dawa zipi au chakula gani anatakiwa kula mama mjamzito wa mwezi mmoja kuelekea miezi miwili.

Anatapika mno kila chakula au chochote anachokula anatapika.

Je asaidiweje?
 
Ni swala la kawaida kwa mwanamke akiwa mjamzito linaitwa kitaalam HYPEREMESISI GRAVIDARUM, na linatokana na ongezeko la hormone za bHCG pamoja na progestrone! Kitu cha msing n kwamba anatapika mara ngap kwa siku?? Unaweza mnunulia dawa ya kupunguza kutapika e.g promethazine (phenegan) itasaidia pia na nutritional suport...
 
Co kama anatapika maea nying zaid kwa siku inabd muende kwenye huduma za afya afanyiwe uchunguz coz inaweza kua ana tatizo zaidi ya hilo
 
Kama nilivyoeleza hapo juu ni msaada upi au dawa zipi au chakula gani anatakiwa kula mama mjamzito wa mwezi mmoja kuelekea miezi miwili.

Anatapika mno kila chakula au chochote anachokula anatapika.

Je asaidiweje?
Achemshe Chai ya Tangawizi kisha anywe itamsaidia kuzuia kutapika.

Tangawizi ni tiba ya kichefu chefu.jpg
 
Ni swala la kawaida kwa mwanamke akiwa mjamzito linaitwa kitaalam HYPEREMESISI GRAVIDARUM, na linatokana na ongezeko la hormone za bHCG pamoja na progestrone! Kitu cha msing n kwamba anatapika mara ngap kwa siku?? Unaweza mnunulia dawa ya kupunguza kutapika e.g promethazine (phenegan) itasaidia pia na nutritional suport...

shukrani
 
Back
Top Bottom