Ahsante mkuu.Pole Sana mkuu, hakika mama anaumiza sana akiugua.
Nenda kajaribu kumpima homa ya mifupa au malaria ya mifupa (kuna malaria ya kawaida, ya mifupa na ya tumbo. Pia kuna homa ya kawaida na homa ya mifupa). Hizi hua zina wakimbilia watu wazima pindi mifupa inapoanza kuchoka.
Mungu akusaidie umtibu bi mkubwa wako[emoji122]
Habari jf naomba kupata msaada wa Dr ambae anaweza kua anakuja home kumuangalia mgonjwa pia naomba ushauri kwa mwenye experience mama ni mgonjwa alianza kwa homa ya kawaida .
Badae akawa hawezi kutembea anasema mgongo kama unakaza tukampeleka hospitali tukaambiwa ni UTI imekomaa sana,wakamuandikia sindano cefriaxone tano 1000mg. IV lakini cha ajabu anamaliza sindano lakini bado mgongo anashida na hawezi hata kusimama bila msaada nawasilisha.
Kuna kitu yaitwaHabari jf naomba kupata msaada wa Dr ambae anaweza kua anakuja home kumuangalia mgonjwa pia naomba ushauri kwa mwenye experience mama ni mgonjwa alianza kwa homa ya kawaida .