muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 746
- 655
Habari jf naomba kupata msaada wa Dr ambae anaweza kua anakuja home kumuangalia mgonjwa pia naomba ushauri kwa mwenye experience mama ni mgonjwa alianza kwa homa ya kawaida .
Badae akawa hawezi kutembea anasema mgongo kama unakaza tukampeleka hospitali tukaambiwa ni UTI imekomaa sana,wakamuandikia sindano cefriaxone tano 1000mg. IV lakini cha ajabu anamaliza sindano lakini bado mgongo anashida na hawezi hata kusimama bila msaada nawasilisha.